Klabu ya soka ya SENGO FC ya mkoani Iringa; inatarajia kuongeza wachezaji wapya watano, ili kuimarisha safu ya kiungo na ushambulizi....
Akizungumza na mtandao huu Msemaji wa Klabu hiyo bwana Edgar Mgimwa; aliuthibitishia mtandao huu juu ya mchakato huo ila alikataa kuweka bayana majina na klabu wanazotoka wachezaji hao.
Sengo f.c inajiandaa na Ligi ya Mkoa wa Iringa inayotazamiwa kuanza tarehe 5/march/2013 kwa kuvishirikisha Vilabu vilivyofanya vizuri msimu uliopita. Mwisho wa Usajili ni tarehe 26/march/2013.
No comments:
Post a Comment